Best Car Inverter
Best Car Inverter
Best Car Inverter
Best Car Inverter
Best Car Inverter
Best Car Inverter
Best Car Inverter

Best Car Inverter

ecom-no-replace-2fDVuN2iV6review
4.8/5.0 (67,832 reviews)
89,000.00 TZS
119,000.00 TZS

In stock

                      Description

SIFA:

CHAJI KWENYE GARI LAKO LAPTOP,SIMU
NA TABLET ZAKO KWA KIFAA KIMOJA

✅Unaweza Kuchaji Laptop Yoyote Ile

✅Chaji Vitu Vingi Kwa Wakati Mmoja

✅Ni Imara Na Inadumu Muda Mrefu

 
Specifications :
Output Frequency: 50Hz
Conversion Efficiency: 0.9
Rated Power: 200 W
Input Voltage: DC 12V
Output Voltage: AC 220V±10%
Socket Type: Universal
Product Name: E8981 car inverter
Output wave: Modified sine wave
USB output: DC 5V 3.1A max
Size: 210*60*50mm
 

 


 

inverter1

INVERTER BORA YA GARI

  • CHAJI SIMU YAKO UKIWA KWENYE GARI

  • CHAJI LAPTOP YAKO

  • CHAJI VIFAA VINGI KWA PAMOJA

inverter_4

NI RAHISI KUTUMIA

Inverter hii ikishapachikwa kwenye port yake unakua umeshamaliza kufanya installation.Baada ya hapo ni wewe tu kuchaji vifaa vyako ukiwa kwenye gari

ONE YEAR WARRANTY

Kumbuka ukinunua inverter hii una warranty ya mwaka mmoja kutoka kwetu.Kifaa hiki ni imara na kinadumu muda mrefu.Tumekiuza kwa zaidi ya miaka mitatu sasa bila kupokea malalamiko yoyote ya wateja
inverter2
inverter_3

UNAWEZA KUCHAJIA LAPTOP KIRAHISI

Kama unavoona kwenye picha laptop ikiwa inachajiwa.Inverter hii ina sehemu mpaka tatu ambazo unaweza kuweka kichwa cha chaja ya laptop au kichwa cha chaja ya simu.Hivyo hata kwenye gari la familia hii itafaa kwa sababu mtaweza kuchaji vitu vingi kwa wakati mmoja.
smallKb
AGIZA_1
Pata Taarifa za bidhaa mpya na punguzo kila wakati kwa email yako👇